Klabu ya Mashujaa FC inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imetangaza rasmi kumsajili kiungo mkongwe Jonas Gerard Mkude 'Nungunungu', kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Mkude anajiunga na miamba hiyo ya mkoani Kigoma, maarufu kama 'Wazee wa Mapigo na Mwendo', akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na mabingwa watetezi, Yanga SC, kufikia tamati.
Uhamisho huu unamaliza uvumi wa muda mrefu kuhusu..... download Xtra 90 App



