Mkude atambulishwa Mashujaa Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 18th August 2026

Mkude atambulishwa Mashujaa Fc

Klabu ya Mashujaa FC inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imetangaza rasmi kumsajili kiungo mkongwe Jonas Gerard Mkude 'Nungunungu', kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Mkude anajiunga na miamba hiyo ya mkoani Kigoma, maarufu kama 'Wazee wa Mapigo na Mwendo', akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na mabingwa watetezi, Yanga SC, kufikia tamati.

Uhamisho huu unamaliza uvumi wa muda mrefu kuhusu..... download Xtra 90 App

More Stories

Raundi ya pili NBC Premier League kuanza leo
Raundi ya pili NBC Premier League kuanza leo
Today, READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 20, August 18 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 20, August 18 2026
Today, READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili
Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili
Today, READ MORE β†’
Girumugisha atambulishwa Al Ahli Tripoli
Girumugisha atambulishwa Al Ahli Tripoli
Today, READ MORE β†’
Mkude atambulishwa Mashujaa Fc
Mkude atambulishwa Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’
Breaking: Manchester city kukaa kikao kuhusu mwenendo wa kocha Enzo Maresca
Breaking: Manchester city kukaa kikao kuhusu mwenendo wa kocha Enzo Maresca
Today, READ MORE β†’
Selemani Mwalimu na Stephane Aziz Ki, Kutoka Klabu Bingwa Dunia Hadi Yanga
Selemani Mwalimu na Stephane Aziz Ki, Kutoka Klabu Bingwa Dunia Hadi Yanga
Today, READ MORE β†’
Aziz Ki, Mwalimu wameanza mazoezi Yanga
Aziz Ki, Mwalimu wameanza mazoezi Yanga
Today, READ MORE β†’
Kassali atuliza presha Simba
Kassali atuliza presha Simba
Today, READ MORE β†’
New Amaan Complex kufungwa miezi miwili kupisha ukarabati
New Amaan Complex kufungwa miezi miwili kupisha ukarabati
Today, READ MORE β†’