Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo mzunguuko wa pili ambapo mechi tatu zinatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Baada ya kupoteza mchezo uliopita, Mbeya City leo wana nafasi ya kujisahihisha uwanja wa nyumbani, Sokoine pale watakapoikaribisha Dodoma Jiji katika mchezo wa mapema utakaopigwa saa nane mchana.
Saa 10:15 jioni utapigwa mchezo wa pili unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki..... download Xtra 90 App



