Kiungo wa Bayern Munich, Jamal Musiala, amefichua kuwa amegunduliwa na tatizo la vipindi vifupi vya kifafa, baada ya kuanguka na kupoteza fahamu kwa muda mfupi katika michezo miwili ya kirafiki ya maandalizi ya msimu.
Tukio la hivi karibuni lilitokea Jumanne katika mchezo dhidi ya Heidenheim, muda mfupi baada ya Musiala kuingia uwanjani kama mchezaji wa akiba katika kipindi cha pili...... download Xtra 90 App



