Baada ya David Kameta “Duchu”, sasa Ibraheem Jabaar ameonyeshwa kadi nyekundu kufuatia tukio lililoonekana kutokuwa la kiungwana.
Kadi hiyo inaongeza changamoto kwa Simba SC, ambayo imeendelea kukumbwa na tatizo la kukosa wachezaji muhimu kutokana na adhabu za kadi nyekundu.
Simba sasa inaingia katika kipindi kigumu kuelekea michezo yake dhidi ya Singida Black Stars..... download Xtra 90 App



