Simba yaizamisha Pamba Jiji CCM Kirumba, yapata kadi Nyekundu ya pili

Joel JJ By Joel JJ • 19th August 2026

Simba yaizamisha Pamba Jiji CCM Kirumba, yapata kadi Nyekundu ya pili

Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Ushindi huo umeipa Simba alama tatu muhimu na kuifanya kufikisha alama sita na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi.

Mabao yote mawili ya Simba yalifungwa katika kipindi cha kwanza kupitia Clatous Chama..... download Xtra 90 App

More Stories

Alvarez bado anaitakia Barcelona
Alvarez bado anaitakia Barcelona
Today, READ MORE →
Simba yaizamisha Pamba Jiji CCM Kirumba, yapata kadi Nyekundu ya pili
Simba yaizamisha Pamba Jiji CCM Kirumba, yapata kadi Nyekundu ya pili
Today, READ MORE →
Highlights : Pamba Jiji 1-2 Simba (FT)
Highlights : Pamba Jiji 1-2 Simba (FT)
Today, READ MORE →
Simba yapata pigo jingine, Ibraheem jabaar aonyeshwa kadi nyekundu

Manchester United yakaribia kumpata Carlos Baleba kutoka Brighton

Ni jukumu letu kufanya tunachotakiwa: Mngqithi Kocha wa yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

Musiala agundulika kuwa na kifafa baada ya kuanguka uwanjani mara ya pili

Sisi pia tumewasoma— Coastal Union yajiandaa kukabiliana na Yanga:Fikiri Elias

Yanga yatoa ufafanuzi wa mgogoro wa Israel Patrick Mwemda

Simba Acheni Kulalamikia Viwanja, Hamna Haki Hiyo : Massanza msemaji wa Singida Blackstars