NBC Premier League inaendelea leo kwa michezo mitatu inayotarajiwa kuleta ushindani mkubwa, huku klabu zikisaka pointi muhimu katika safari ya msimu wa 2026/27. Ratiba inaanza mapema mchana na kuendelea hadi usiku, hivyo mashabiki wa soka watapata burudani ya kutosha kutoka mchezo wa kwanza hadi wa mwisho.
Mchezo wa kwanza utakuwa kati ya Polisi Tanzania na JKT Tanzania, utakaopigwa saa..... download Xtra 90 App



