Mshambuliaji hatari raia wa Ghana, Jonathan Sowah, ameweka wazi dhamira yake ya kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu baada ya kuanza Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27 kwa kasi, akifunga mabao mawili katika mechi mbili za kwanza.
Sowah, ambaye anaitumikia klabu ya Singida Black Stars baada ya kipindi kifupi chenye changamoto akiwa na kikosi cha Simba SC msimu uliopita, ameonekana kurejesha..... download Xtra 90 App



