Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 20th August 2026

Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama

Winga wa Burundi, Jean Claude Girumugisha, amefichua sababu zilizopelekea mazungumzo yake ya kujiunga na Yanga SC kushindikana, licha ya kuwa tayari kuhamia Tanzania.

Girumugisha, ambaye hivi karibuni alijiunga na Al Ahli Tripoli ya Libya kwa ada inayoripotiwa kuwa Dola milioni 5.5, amesema Yanga ilikuwa imeonyesha nia ya kumsajili na yeye mwenyewe alikuwa tayari kujiunga na klabu..... download Xtra 90 App

More Stories

Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe

Today, READ MORE β†’
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Today, READ MORE β†’
Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli

Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili

Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 16, August 20 2026

NBC Premier league kuendelea leo kwa michezo mitatu ya kibabe.

Ibraheem Jabaar akiri kosa lake baada ya kadi nyekundu dhidi ya Pamba Jiji

Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili

Alvarez bado anaitakia Barcelona
Alvarez bado anaitakia Barcelona
Today, READ MORE β†’
Simba yaizamisha Pamba Jiji CCM Kirumba, yapata kadi Nyekundu ya pili