Winga wa Burundi, Jean Claude Girumugisha, amefichua sababu zilizopelekea mazungumzo yake ya kujiunga na Yanga SC kushindikana, licha ya kuwa tayari kuhamia Tanzania.
Girumugisha, ambaye hivi karibuni alijiunga na Al Ahli Tripoli ya Libya kwa ada inayoripotiwa kuwa Dola milioni 5.5, amesema Yanga ilikuwa imeonyesha nia ya kumsajili na yeye mwenyewe alikuwa tayari kujiunga na klabu..... download Xtra 90 App



