Mashabiki wa Simba bado wanasubiri kwa hamu kubwa kushangilia bao la kwanza la mshambuliaji wao Ibrahim Doumbia katika mashindano ya ndani. Mshambuliaji huyo amekuwa gumzo kubwa katika siku za hivi karibuni, huku mijadala kuhusu uwezo wake ikizidi kutawala mitandao ya kijamii.
Doumbia alifika Simba akiwa na rekodi nzuri baada ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Mali msimu uliopita. Hata..... download Xtra 90 App



