Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni

Joel JJ By Joel JJ β€’ 20th August 2026

Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni

Yanga SC imeanza vyema raundi ya pili ya Ligi Kuu ya NBC baada ya kuichapa Coastal Union mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex.

Mchezo huo ulikuwa wa upande mmoja kwa muda mwingi, huku Yanga ikitawala mchezo na kutengeneza nafasi kadhaa za wazi ambazo ingeweza kuzitumia kuongeza idadi ya mabao.

Albert Kangwanda ndiye aliyeifungulia Yanga ukurasa wa mabao..... download Xtra 90 App

More Stories

Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC

Today, READ MORE β†’
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Today, READ MORE β†’
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Today, READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania

Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha

Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe

Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama

Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli

Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili

Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 16, August 20 2026