Michezo mitatu ya NBC Premier League iliyochezwa leo imekamilika kwa Polisi Tanzania, Yanga SC na Azam FC kupata ushindi, huku matokeo hayo yakibadilisha sura ya msimamo wa ligi. Yanga imekuwa miongoni mwa vinara baada ya kuendeleza mwanzo mzuri wa msimu na sasa imekaa kileleni ikiwa na pointi sita na tofauti ya mabao matano.
Polisi Tanzania imeanza siku kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya..... download Xtra 90 App



