Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe, amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutopotoshwa na taarifa zisizo rasmi kuhusu hali ya mchezaji Sele Gomez, akisisitiza kuwa mchezaji huyo bado anatambulika kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga.
Kamwe amesema suala linalohusu taarifa za mchezaji huyo katika mfumo wa FIFA Connect ni jambo la kiufundi ambalo hawezi kulizungumzia kwa undani,..... download Xtra 90 App



