Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema mchezo dhidi ya Singida Black Stars unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na namna timu hiyo imekuwa ikiiweka Simba kwenye wakati mgumu kila zinapokutana.
Ahmed Ally amesema Singida Black Stars imejengwa kuwa timu yenye ushindani na imekuwa ikionyesha dhamira kubwa inapokutana na Simba, hali ambayo imefanya michezo..... download Xtra 90 App



