Kamwe afunguka Damaro, Gamal kutua Singida BS

Joel JJ By Joel JJ • 21st August 2026

Kamwe afunguka Damaro, Gamal kutua Singida BS

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amefafanua kuhusu mustakabali wa beki Abdulnasir Mohamed ‘Gamal’ pamoja na kiungo Mohamed Damaro, ambao wote wametua Singida Black Stars licha ya awali kuonekana wakiwa sehemu ya kikosi cha Yanga.

Kamwe amethibitisha kuwa Gamal amejiunga na Singida Black Stars kwa mkopo, baada ya kufanya mazoezi na kikosi cha Yanga wakati..... download Xtra 90 App

More Stories

Kamwe afunguka Damaro, Gamal kutua Singida BS
Kamwe afunguka Damaro, Gamal kutua Singida BS
Today, READ MORE →
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 20, August 21 2026

“Hatujui lolote kuhusu Selemani, alitutoroka kambini” - Ahmed Ally

Singida Black Stars imekuwa ikifanya mchezo kuwa mgumu kwa Simba - Ahmed Ally

Premier League imerudi, Pazia la msimu mpya la funguliwa na mechi ya mabingwa.

Ligi Kuu England Yapitisha Sheria Mpya Kuanza Kutumika Msimu wa 2026/27

Lengo Letu ni Ushindi na Alama Zote Tatu: Steve Barker kocha mkuu simba

Mashabiki wa Yanga Watakiwa Kutoingia Katika Mitego Kuhusu Sele Gomez

Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili

Raundi ya pili ya NBC Premier League yafungwa kibabe.