Premier League inaendelea leo kwa michezo mitano inayotarajiwa kuleta burudani kubwa, huku klabu zikisaka pointi muhimu katika hatua za mwanzo za msimu. Ratiba inaanza mapema mchana na kuendelea hadi usiku, ambapo mashabiki watapata nafasi ya kushuhudia mapambano mbalimbali kutoka viwanja tofauti.
Mchezo wa kwanza utakuwa kati ya Hull City na Manchester United, utakaochezwa saa 8:30..... download Xtra 90 App



