Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Nidhamu, limemfungia mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF, Bakhresa amefungiwa baada ya kamati hiyo kumtia hatiani kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu alivyofanya kabla na baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe..... download Xtra 90 App



