Simba SC imeendelea kuwa na changamoto katika upande wa nidhamu ya mchezo baada ya kupata kadi nyekundu katika mchezo wa tatu mfululizo, jambo linalozua maswali kuhusu mwenendo wa timu hiyo katika kipindi hiki cha msimu.
Katika mchezo dhidi ya Singida Black Stars, ambapo Simba ilipata ushindi wa 2-1, mchezaji Antoni Mligo alionyeshwa kadi nyekundu katika dakika za mwisho za mchezo, na..... download Xtra 90 App



