Geita Gold imeonyesha ubabe wa hali ya juu katika NBC Premier League baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 6-2 katika mchezo uliojaa mabao na burudani kwenye Uwanja wa Bukombe. Ushindi huo unaifanya Geita Gold kuvuna pointi tatu muhimu huku Kagera Sugar ikiondoka uwanjani ikiwa imepata pigo kubwa.
Richard Ng’ondya alifungua akaunti ya mabao dakika ya 10, kabla ya Obrey Chirwa..... download Xtra 90 App



