Geita Gold yamuangushia Kagera Sugar kipigo cha paka mwizi.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 22nd August 2026

Geita Gold yamuangushia Kagera Sugar kipigo cha paka mwizi.

Geita Gold imeonyesha ubabe wa hali ya juu katika NBC Premier League baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 6-2 katika mchezo uliojaa mabao na burudani kwenye Uwanja wa Bukombe. Ushindi huo unaifanya Geita Gold kuvuna pointi tatu muhimu huku Kagera Sugar ikiondoka uwanjani ikiwa imepata pigo kubwa.

Richard Ng’ondya alifungua akaunti ya mabao dakika ya 10, kabla ya Obrey Chirwa..... download Xtra 90 App

More Stories

Geita Gold yamuangushia Kagera Sugar kipigo cha paka mwizi.
Geita Gold yamuangushia Kagera Sugar kipigo cha paka mwizi.
Today, READ MORE β†’
Simba yaendeleza ushindi wa asilimia 100 ugenini

Simba bado nidhamu ya mchezo ipo chini, kadi nyekundu ya tatu mfululizo yawatokea

Highlights : Singida BS 1-2 Simba
Highlights : Singida BS 1-2 Simba
Today, READ MORE β†’
TFF yamfungia kiongozi wa Azam FC Jamal Bakhresa kujihusisha na soka kwa mwaka mmoja

Manchester United yaanza msimu kwa kipigo dhidi ya Hull City

Bakhresa afungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka

Kamati ya saa 72 yashusha rungu matukio mbalimbali

Yanga Watoa Pole Kufuatia Kifo cha Ramadhani Mganda

Manchester United Yakaribia Kukamilisha Usajili wa Carlos Baleba