Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 4th September 2026

Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha awali cha Timu ya Taifa, Taifa Stars, kwa ajili ya michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 dhidi ya Guinea-Bissau na Madagascar, pamoja na mchezo wa kirafiki dhidi ya Ghana.

Kikosi hicho kilichoandaliwa na Kocha Mkuu Miguel Ángel Gamondi kinajumuisha makipa watano, akiwemo Zuberi Foba na Aishi Manula wa Azam FC. Katika safu ya ulinzi, wamejumuishwa Ibrahim Bacca na Bakari Mwamnyeto wa Yanga SC, pamoja na Vedastus Masinde na Bakari Msimu wa Simba SC.

Safu ya kiungo imejumuisha wachezaji wanaocheza nje ya Tanzania, akiwemo Adolph Mtasingwa wa Kaizer Chiefs, Mohamed Sagaf wa Eastbourne Borough na Alphonce Mabula wa JS Kabylie, sambamba na wachezaji kutoka klabu za ndani. Upande wa ushambuliaji, majina yanayokamilisha kikosi hicho ni pamoja na Bernard Kamungo, Kelvin John, Kibu Dennis na Cyprian Kachwele, huku Selemani Mwalimu na Paul Peter wakiwakilisha ligi ya ndani.

More Stories

Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72
Massanza akumbana na fainali kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Today, READ MORE β†’
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Today, READ MORE β†’
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Today, READ MORE β†’
Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Aziz KI apewa mazoezi ya ziada kuingamiza Gaborone united kesho
Today, READ MORE β†’
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Bernard Kamungo ajumuishwa rasmi kwenye kikosi cha Taifa Stars.
Today, READ MORE β†’
Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027
Kikosi Cha awali Taifa Stars hadharani kufuzu Afcon 2027
Today, READ MORE β†’
CAF yakagua arusha kujiweka tayari kwa afcon 2027.
CAF yakagua arusha kujiweka tayari kwa afcon 2027.
Today, READ MORE β†’
Rushine aahidi makubwa kimataifa, Simba ikielekea malawi
Rushine aahidi makubwa kimataifa, Simba ikielekea malawi
Today, READ MORE β†’