Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 5th September 2026

Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo, Septemba 5, 2026, huku JKT Tanzania ikiwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo wa raundi ya tano utakaochezwa saa 1:00 usiku, ambapo timu zote zinalenga kupata alama tatu.

Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo huo, huku mchezaji Jafar Maneno akieleza kuwa morali ya wachezaji iko juu na dhamira yao ni kupambana hadi dakika ya mwisho ili kupata ushindi mbele ya mashabiki wao.

Kwa upande wa Pamba Jiji, Kocha Francis Baraza amesema timu yake inafahamu umuhimu wa mchezo huo na inalenga kuondoka na ushindi, huku mchezaji Frank Ernest akisisitiza kuwa maandalizi yao yamejikita katika kupambana kwa dakika zote 90 na kutumia vyema nafasi watakazopata.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku JKT Tanzania ikitafuta kutumia faida ya uwanja wa nyumbani, wakati Pamba Jiji ikiwa na dhamira ya kuvuruga mipango ya wenyeji na kuondoka na alama zote tatu.

More Stories

Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo
Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo
Today, READ MORE β†’
Yanga mtegoni Botswana, kuikabili Gaborone United leo
Yanga mtegoni Botswana, kuikabili Gaborone United leo
Today, READ MORE β†’
Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
Today, READ MORE β†’
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
Today, READ MORE β†’
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
Today, READ MORE β†’
Massanza akumbana na faini kamati ya saa 72
Massanza akumbana na faini kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Kangwanda: Tumejiandaa vizuri, tutatoa kila kitu uwanjani.
Today, READ MORE β†’
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Bodi ya ligi tanzania bara yafuta kadi nyekundu ya Gibril sillah wa Azam
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Mngqithi: Gaborone United ni timu imara, Yanga inakabiliwa na mtihani mgumu.
Today, READ MORE β†’
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Ahmed Ally atuma ujumbe mzito kwa wachezaji wa Simba kuelekea mchezo dhidi ya Mighty wanderers
Today, READ MORE β†’