Local, Normal News, Pacome, Yanga, CAFCL, Gaborone, Ligi kuu bara

Pacome atuma salamu Yanga kuelekea mchezo wa Gaborone united

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
1h ago
Pacome atuma salamu Yanga kuelekea mchezo wa Gaborone united

Nyota wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, ameitakia kila la kheri timu yake kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United ya Botswana, akieleza kuwa moyo na fikra zake zipo pamoja na kikosi hicho licha ya kutokuwepo uwanjani kutokana na jeraha.

Kupitia ujumbe wake, Zouzoua amesema: β€œKila la kheri familia nzima ya Yanga kwenye safari ya Ligi ya Mabingwa. Isivyo bahati kutokuwepo kwangu kunanizuia mimi kuwa nanyi dimbani, lakini moyo wangu na fikra zipo pamoja nanyi.”

Zouzoua anatarajiwa kukosa msimu mzima wa 2026/27 baada ya kupata jeraha kubwa la mguu na kifundo cha mguu katika mchezo wa mwisho wa msimu uliopita dhidi ya JKT Tanzania.

Licha ya kutokuwepo kwenye kikosi, Zouzoua amewataka wachezaji wenzake kujitoa kwa kila hali katika kuipambania jezi ya Yanga, huku akisisitiza kuwa ataendelea kuwa pamoja nao kwa moyo katika safari yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

More Stories

Barker ataja mkakati wa ushindi Malawi
Barker ataja mkakati wa ushindi Malawi
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yazindua tawi jipya Botswana, yaahidi ubingwa wa afrika
Yanga yazindua tawi jipya Botswana, yaahidi ubingwa wa afrika
2h ago
READ MORE β†’
Mnyama katika mtego wa Mighty Wonderers Jumapili
Mnyama katika mtego wa Mighty Wonderers Jumapili
3h ago
READ MORE β†’
Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo
Jkt tanzania na Pamba jiji kwenye vita ya alama leo
5h ago
READ MORE β†’
Yanga mtegoni Botswana, kuikabili Gaborone United leo
Yanga mtegoni Botswana, kuikabili Gaborone United leo
7h ago
READ MORE β†’
Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
Real Madrid na PSG zakutana na vipigo katika ligi zao.
15h ago
READ MORE β†’
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
Chama: Ilikuwa ngumu kucheza dhidi ya simba nikiwa na jezi ya timu nyingine
17h ago
READ MORE β†’
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
Clatous Chama : Nilijutia kuondoka simba
17h ago
READ MORE β†’
Massanza akumbana na faini kamati ya saa 72
Massanza akumbana na faini kamati ya saa 72
1d ago
READ MORE β†’