International, Normal News, UEFA Champions League, Barcelona, Liverpool, Napoli, Arsenal, Atletico Madrid, PSG, Galatasarayu

UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi sita za kibabe.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
1h ago
UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi sita za kibabe.

Michuano ya UEFA Champions League inaendelea tena leo kwa michezo sita ya kusisimua, huku baadhi ya vigogo barani Ulaya wakishuka dimbani kutafuta ushindi na pointi muhimu. Mchezo wa kwanza utapigwa saa 1:45 usiku, ambapo Barcelona itakuwa mwenyeji wa Feyenoord, kabla ya michezo mingine minne kuanza saa 4:00 usiku.

Miongoni mwa mechi zinazotarajiwa kupewa attention kubwa ni Liverpool vs Atletico Madrid, mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili.

Pia kuna Napoli vs Arsenal, pambano jingine la kibabe ambalo linatarajiwa kuvuta macho ya mashabiki wa soka, huku Arsenal ikitafuta matokeo muhimu dhidi ya Napoli. 

Kwa ujumla, ni usiku mwingine wa soka la kiwango cha juu kwenye UEFA Champions League, na mashabiki watapata burudani kutoka mwanzo hadi mwisho.

More Stories

Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu
Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu
3m ago
READ MORE β†’
Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
55m ago
READ MORE β†’
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
1h ago
READ MORE β†’
Mecky mexime kutua TRA, Kuchukua mikoba ya Ndayiragije
Mecky mexime kutua TRA, Kuchukua mikoba ya Ndayiragije
2h ago
READ MORE β†’
Breaking news: Yanga yataja gharama za ujenzi, Azania bank ikihusika
Breaking news: Yanga yataja gharama za ujenzi, Azania bank ikihusika
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yaanza safari mpya ya ujenzi, ghorofa 12 kujengwa mafia na nyamwezi
Yanga yaanza safari mpya ya ujenzi, ghorofa 12 kujengwa mafia na nyamwezi
3h ago
READ MORE β†’
NBC PREMIER LEAGUE: Mashujaa na Singida Bs kuingia kwenye vita ya kusaka alama tatu.
NBC PREMIER LEAGUE: Mashujaa na Singida Bs kuingia kwenye vita ya kusaka alama tatu.
3h ago
READ MORE β†’
Mafanikio ya Yanga hayajaanza leo, yalianza kwa maono ya wazee
Mafanikio ya Yanga hayajaanza leo, yalianza kwa maono ya wazee
3h ago
READ MORE β†’
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: matokeo ya usiku huu.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: matokeo ya usiku huu.
14h ago
READ MORE β†’