Local, Normal News, Simba, Yanga, Chama, Ligi kuu bara

Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
40m ago
Chama aweka wazi kinachoendelea nje ya uwanja, si sehemu ya maisha yangu

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, amesema mambo yanayoendelea nje ya uwanja kuhusu yeye si sehemu ya maisha anayoyahusudu na wala hayamkatishi tamaa katika kuendelea na majukumu yake ya soka.

Chama ameyasema hayo leo wakati wa tukio la Media Day lililofanyika katika Uwanja wa MO Arena, Bunju jijini Dar es Salaam, huku kauli yake ikija wakati ambapo kumekuwa na mjadala kuhusu uhusiano wake na klabu yake ya zamani, Yanga SC.

Nyota huyo wa Zambia amesisitiza kuwa anachagua kuendelea kuzingatia maisha yake ya soka na majukumu yake ndani ya Simba, badala ya kuathiriwa na mambo yanayoendelea nje ya uwanja.

More Stories

Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
Doumbia akiri mambo magumu, haijawahi kutokea
1h ago
READ MORE β†’
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
Morocco apindua meza TRA United, kumrithi Ndayirajige
1h ago
READ MORE β†’
UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi sita za kibabe.
UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi sita za kibabe.
1h ago
READ MORE β†’
Mecky mexime kutua TRA, Kuchukua mikoba ya Ndayiragije
Mecky mexime kutua TRA, Kuchukua mikoba ya Ndayiragije
3h ago
READ MORE β†’
Breaking news: Yanga yataja gharama za ujenzi, Azania bank ikihusika
Breaking news: Yanga yataja gharama za ujenzi, Azania bank ikihusika
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yaanza safari mpya ya ujenzi, ghorofa 12 kujengwa mafia na nyamwezi
Yanga yaanza safari mpya ya ujenzi, ghorofa 12 kujengwa mafia na nyamwezi
3h ago
READ MORE β†’
NBC PREMIER LEAGUE: Mashujaa na Singida Bs kuingia kwenye vita ya kusaka alama tatu.
NBC PREMIER LEAGUE: Mashujaa na Singida Bs kuingia kwenye vita ya kusaka alama tatu.
3h ago
READ MORE β†’
Mafanikio ya Yanga hayajaanza leo, yalianza kwa maono ya wazee
Mafanikio ya Yanga hayajaanza leo, yalianza kwa maono ya wazee
4h ago
READ MORE β†’
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: matokeo ya usiku huu.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: matokeo ya usiku huu.
14h ago
READ MORE β†’