International, Normal News, Chelsea, EPL

Rasmi: João Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
1h ago
Rasmi: João Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti

Mshambuliaji wa Chelsea, João Pedro, ametangazwa rasmi kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi wa Agosti katika Premier League.

João Pedro ameanza vyema msimu akiwa na Chelsea, akihusika katika mabao manne ndani ya mechi tatu, akifunga mabao mawili na kutoa assists mbili.

Kiwango hicho kizuri mwanzoni mwa msimu kimemfanya pia kurejea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Brazil.

More Stories

Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
1h ago
READ MORE →
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
1h ago
READ MORE →
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
3h ago
READ MORE →
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
7h ago
READ MORE →
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
14h ago
READ MORE →
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
20h ago
READ MORE →
Rasmi: Hemed Suleiman “Morocco” ametangazwa kocha mpya wa TRA United
Rasmi: Hemed Suleiman “Morocco” ametangazwa kocha mpya wa TRA United
20h ago
READ MORE →
Manqoba anautaka ubingwa Afrika
Manqoba anautaka ubingwa Afrika
20h ago
READ MORE →
Uefa champions League: matokeo ya mechi 6 za kibabe leo.
Uefa champions League: matokeo ya mechi 6 za kibabe leo.
1d ago
READ MORE →