Local, Normal News, Shalulile, Yanga, Ligi kuu bara, Geita gold, Gaborone united, CAFCL

Shalulile hali tete, Yanga ikiikabili Geita gold leo

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
23h ago
Shalulile hali tete, Yanga ikiikabili Geita gold leo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, raia wa Namibia Peter Shalulile, amepata jeraha baada ya kuumia katika mchezo wa CAF Champions League dhidi ya Gaborone United.

Shalulile amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu wa Yanga ambapo dhidi ya Gaborone United, alifunga bao moja lililosaidia timu hiyo kuvuka hatua ya kwanza ya mashindano kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2. Katika mchezo wa marudiano.

Hali ya nyota huyo bado haijakaa sawa kwa mujibu wa meneja habari wa timu hiyo ikiwa ni kuelekea mchezo wa ligi kuu bara utakaochezwa hii leo majira ya saa 1 usiku dhidi ya Geita gold

Yanga inashuka uwanjani hii leo kwenye muendelezo wa ligi kuu bara katika uwanja wa kmc uliopo mwenge jijini Dar es salaam

More Stories

Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
50m ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
1h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
14h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
14h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
15h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
19h ago
READ MORE β†’
AFCON 2027 kuitangaza tanzania kama kivutio cha utalii duniani: karia
AFCON 2027 kuitangaza tanzania kama kivutio cha utalii duniani: karia
20h ago
READ MORE β†’
Ibenge asifu ubora wa simba, huku akitoa sababu za rotation zake
Ibenge asifu ubora wa simba, huku akitoa sababu za rotation zake
21h ago
READ MORE β†’
Ushindi dhidi ya Azam ni muhimu kwa malengo ya simba: Steve Barker
Ushindi dhidi ya Azam ni muhimu kwa malengo ya simba: Steve Barker
21h ago
READ MORE β†’
Allianz arena mwenyeji fainali ligi ya mabingwa ulaya 2028, Camp Nou 2029
Allianz arena mwenyeji fainali ligi ya mabingwa ulaya 2028, Camp Nou 2029
22h ago
READ MORE β†’