Local, Normal News, Ligi Kuu, Yanga, Simba

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
34m ago
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu

Wakat Ligi Kuu ya NBC ikisimama kwa takribani wiki tatu kupisha kalenda ya FIFA, ni mafahari wawili pekee Yanga na Simba ambao wamegoma kupoteza mchezo mpaka sasa.

Timu hizo zimefungua mapema ushindani kwenye mbio za ubingwa zikibanana kwenye alama 18 baada ya kushinda mechi sita.

Yanga imeendelea kusalia kileleni kutokana na faida ya uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa (+14) huku Simba ikiwa na (+9).

Azam Fc iliondoka kwenye orodha ya timu ambazo hazijapoteza mchezo msimu huu baada ya kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba hapo jana.

Kipigo hicho pia kiliivurugia Azam Fc rekodi ya kutopoteza mchezo kwenye uwanja wake wa nyumbani katika msimu wa pili mfululizo.

More Stories

Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
1h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
3h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
3h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
4h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
4h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
5h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
5h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
5h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
7h ago
READ MORE →