Local, Normal News, Taifa Stars, Yanga, Simba, Azam

Nyota Stars waingia kambini tayari kwa mechi za kufuzu Afcon 2027

Joel JJ By Joel JJ
β€’
51m ago
Nyota Stars waingia kambini tayari kwa mechi za kufuzu Afcon 2027

Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wameingia kambini jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).

Taifa Stars inajiandaa kukutana na Guinea-Bissau katika mchezo wa kwanza wa kampeni hiyo, utakaopigwa Septemba 25, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Baada ya mchezo huo, Stars itasafiri kwa ajili ya kukutana na Madagascar katika mchezo wa pili wa kufuzu AFCON 2027, utakaochezwa ugenini Septemba 29, 2026.

Kuingia kwa wachezaji kambini kunaashiria mwanzo wa maandalizi ya kikosi kuelekea michezo hiyo miwili ambayo itakuwa sehemu ya safari ya Tanzania katika kujiandaa na fainali za AFCON 2027.

Tanzania ni mmoja wa wenyeji wa michuano hiyo ya PAMOJA na Kenya na Uganda. Wanashiriki hatua ya kufuzu kwa mujibu wa kanuni tu na kama sehemu ya maandalizi ya kuelekea michuano hiyo kwani tayari tiketi wanayo.

More Stories

Simba kujichimbia Afrika Kusini kujiandaa na Kariakoo Derby
Simba kujichimbia Afrika Kusini kujiandaa na Kariakoo Derby
1h ago
READ MORE β†’
Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
4h ago
READ MORE β†’
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
6h ago
READ MORE β†’
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
7h ago
READ MORE β†’
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
21h ago
READ MORE β†’
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
1d ago
READ MORE β†’
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
1d ago
READ MORE β†’
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
1d ago
READ MORE β†’
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
1d ago
READ MORE β†’