Local, Normal News, Yanga, Mama Karume, Tanzia, Hersi, Jangwani, Daima mbele nyuma mwiko

Hersi: Yanga imempoteza kiongozi mkubwa

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
1h ago
Hersi: Yanga imempoteza kiongozi mkubwa

Raisi na Mwenyekiti wa Yanga, Eng Hersi Said, amekiri klabu hiyo imempoteza kiongozi mkubwa na muhimu kufuatia kifo cha mjumbe wa Baraza la wadhamini la Yanga, Mama Fatma Karume aliefariki jana septemba 21 2026.

Hersi amesema Mama Karume atakumbukwa kwa mengi ndani ya timu hiyo ikiwemo namna alihusika kwenye upatikanaji wa ardhi ya jengo la makao makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam.

"Huu ni msiba mkubwa kwetu, Tumepoteza kiongozi mkubwa mwenye hekima, busara na mapenzi makubwa kwa timu yake" amesema Hersi.

Uongozi wa Yanga chini ya Raisi huyo umetuma salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, na marafiki huku ukiwaombea nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi.

More Stories

Rushine De Reuck afunguka mazito ya utotoni, Wengine wapo jela wengine wameshakufa
Rushine De Reuck afunguka mazito ya utotoni, Wengine wapo jela wengine wameshakufa
1h ago
READ MORE β†’
Sandaland yatoa msimamo wao kwa Waziri Makonda, Yadai radhi na fidia
Sandaland yatoa msimamo wao kwa Waziri Makonda, Yadai radhi na fidia
2h ago
READ MORE β†’
Nyota Taifa Stars watamani uwepo wa Mbwana Samatta
Nyota Taifa Stars watamani uwepo wa Mbwana Samatta
4h ago
READ MORE β†’
Barcelona ndiyo timu bora kwa sasa: Simeone
Barcelona ndiyo timu bora kwa sasa: Simeone
5h ago
READ MORE β†’
Simon Msuva awasili rasmi kambini kujiunga na taifa stars
Simon Msuva awasili rasmi kambini kujiunga na taifa stars
20h ago
READ MORE β†’
Kaze amrithi Kaseja Kagera Sugar
Kaze amrithi Kaseja Kagera Sugar
21h ago
READ MORE β†’
Morgan Gibbs kuchukua nafasi ya Palmer Uingereza
Morgan Gibbs kuchukua nafasi ya Palmer Uingereza
1d ago
READ MORE β†’
Zakaria Thabit afunguka kuhusu mwanzo wa msimu wa Azam FC
Zakaria Thabit afunguka kuhusu mwanzo wa msimu wa Azam FC
1d ago
READ MORE β†’
Kagera Sugar yafukuza benchi zima la ufundi!
Kagera Sugar yafukuza benchi zima la ufundi!
1d ago
READ MORE β†’