Steve Barker na siri ya mpango wa Simba kuelekea Derby ya Kariakoo

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
1h ago
Steve Barker na siri ya mpango wa Simba kuelekea Derby ya Kariakoo

Kuelekea Derby ya Kariakoo ya Oktoba 10, kocha wa Simba SC, Steve Barker, ameweka wazi kuwa mchezo dhidi ya Yanga hautakuwa wa kawaida, akitambua ugumu na uzito wa pambano hilo.

Lakini nyuma ya kauli yake kuna jambo jingine linalovutia zaidi: Simba inalenga kutumia derby hiyo kuendeleza mfululizo wake wa ushindi hadi kufikisha mechi saba mfululizo.

Barker amesema maandalizi ya timu yamejikita katika kuhakikisha Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa tayari kupambana kwa dakika zote.

 “Mchezo wa tarehe 10 dhidi ya Yanga najua utakuwa mzuri, lakini pia mgumu. Sisi kama Simba tumejipanga kuhakikisha tunashinda ili tuwe tumeshinda michezo saba mfululizo.”

Kambi ya Afrika Kusini imewapa nini? Simba imeweka sehemu ya maandalizi yake nchini Afrika Kusini, na Barker anaamini kambi hiyo imeongeza kitu muhimu ndani ya kikosi kujiamini. 

“Kambi ya hapa Afrika Kusini kuna kitu imetuongezea, naamini tutakwenda kupambana siku hiyo tupate ushindi.”

Sasa swali kubwa linabaki kwenye uwanja: Je, maandalizi ya Afrika Kusini na kasi ya ushindi wa Simba vitatosha kuipa timu hiyo ushindi dhidi ya Yanga?

More Stories

Siku 260 kuelekea Afcon 2027, Afrika mashariki ikiibeba Afrika mzima
Siku 260 kuelekea Afcon 2027, Afrika mashariki ikiibeba Afrika mzima
8m ago
READ MORE β†’
Ibrahim Kazimoto avutia benchi la Yanga, hatua mpya yaibua kitu kikubwa
Ibrahim Kazimoto avutia benchi la Yanga, hatua mpya yaibua kitu kikubwa
36m ago
READ MORE β†’
Simbu kunogesha Simba marathon 2026, Coco beach kuwaka moto
Simbu kunogesha Simba marathon 2026, Coco beach kuwaka moto
1h ago
READ MORE β†’
Kibadeni na historia ya Hat-Trick ya Kariakoo Derby
Kibadeni na historia ya Hat-Trick ya Kariakoo Derby
2h ago
READ MORE β†’
Bernard Kamungo akamilisha taratibu za kuichezea Taifa Stars.
Bernard Kamungo akamilisha taratibu za kuichezea Taifa Stars.
12h ago
READ MORE β†’
Ronaldo Aondoka, wafuasi milioni 8 zapotea Ureno, nini kinaendelea nyuma ya pazia?
Ronaldo Aondoka, wafuasi milioni 8 zapotea Ureno, nini kinaendelea nyuma ya pazia?
22h ago
READ MORE β†’
Ghana yamfuta kazi Queiroz baada ya kufungwa mechi mbili kufuzu Afcon 2027
Ghana yamfuta kazi Queiroz baada ya kufungwa mechi mbili kufuzu Afcon 2027
22h ago
READ MORE β†’
Takwimu za kiungo wa boli Duke Abuya akiingia Derby ya Kariakoo Oktoba 10
Takwimu za kiungo wa boli Duke Abuya akiingia Derby ya Kariakoo Oktoba 10
22h ago
READ MORE β†’
Simba kujipima na Timu za Afrika kusini, ikijiandaa na muendelezo wa msimu 2026-27
Simba kujipima na Timu za Afrika kusini, ikijiandaa na muendelezo wa msimu 2026-27
23h ago
READ MORE β†’
Messi kupewa shahada ya juu ya heshima na Chuo Kikuu cha Buenos Aires.
Messi kupewa shahada ya juu ya heshima na Chuo Kikuu cha Buenos Aires.
1d ago
READ MORE β†’