Olise awasha moto, France yafanya comeback ya 4-1

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
1h ago
Olise awasha moto, France yafanya comeback ya 4-1

Ufaransa imefanya comeback kubwa na kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, baada ya kuanza mchezo ikiwa nyuma kwa bao 1-0. Mabadiliko makubwa yalikuja baada ya kuingia kwa kiungo mshambuliaji Michael Olise, ambaye alibadilisha kabisa mwelekeo wa mchezo.Olise aliingia uwanjani dakika ya 60, na ndani ya muda mfupi akaonyesha ubora wake kwa kuhusika moja kwa moja kwenye mabao matatu. Nyota huyo alifunga mabao mawili na kutoa assist moja ndani ya dakika 25, akiiongoza Ufaransa kurejea mchezoni na kugeuza matokeo.

Kwa kiwango hicho, Olise ameendelea kuonyesha kwa nini amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaovutia zaidi kwa sasa. Kasi, ubunifu na uwezo wake wa kutengeneza nafasi vilifanya Ufaransa ionekane kama timu tofauti kabisa baada ya kuingia kwake.

Kwa msimu huu, Olise ameripotiwa kuwa na jumla ya mabao 12 na assists 5 katika mechi 11, akifikisha jumla ya goal contributions 17 akiwa na klabu na timu ya taifa. Takwimu hizo zinaonyesha kiwango cha juu ambacho nyota huyo wa Ufaransa anaendelea kukifikia.

Olise amewasha moto, na safari hii Ufaransa imepata ushindi wa 4-1 baada ya kugeuza mchezo uliokuwa umeanza kwa presha.

ADVERTISE HERE

More Stories

Selemani Mwalimu aongezwa Tanzania U23
Selemani Mwalimu aongezwa Tanzania U23
2h ago
READ MORE →
Coastal Union dhidi ya Azam FC yasogezwa.
Coastal Union dhidi ya Azam FC yasogezwa.
2h ago
READ MORE →
Kariakoo Derby, Makocha Kupewa Kadi Mbili za Kuomba Review ya FVS
Kariakoo Derby, Makocha Kupewa Kadi Mbili za Kuomba Review ya FVS
11h ago
READ MORE →
Rais Mwinyi aridhishwa na kasi ya maandalizi Zanzibar kuelekea Afcon 2027
Rais Mwinyi aridhishwa na kasi ya maandalizi Zanzibar kuelekea Afcon 2027
12h ago
READ MORE →
Kariakoo Derby: TPLB Kuweka Kifaa cha Kugundua Harufu Vyumba vya Kubadilishia Nguo
Kariakoo Derby: TPLB Kuweka Kifaa cha Kugundua Harufu Vyumba vya Kubadilishia Nguo
12h ago
READ MORE →
Proença amkingia kifua Ronaldo, asema bado ana nafasi Portugal.
Proença amkingia kifua Ronaldo, asema bado ana nafasi Portugal.
13h ago
READ MORE →
Tunaendelea na maandalizi makini kuelekea Dabi: Rweyemamu Meneja wa Simba
Tunaendelea na maandalizi makini kuelekea Dabi: Rweyemamu Meneja wa Simba
15h ago
READ MORE →
Clara Luvanga Aweka Historia NWSL, Afunga Bao la Ushindi kwa Washington Spirit
Clara Luvanga Aweka Historia NWSL, Afunga Bao la Ushindi kwa Washington Spirit
16h ago
READ MORE →
Salmin Kassim aonyesha moto wa ngumi, aangusha KO kali dhidi ya Raquinel
Salmin Kassim aonyesha moto wa ngumi, aangusha KO kali dhidi ya Raquinel
17h ago
READ MORE →
Nyuma ya pazia juu ya ushindi wa Argentina dhidi ya Burkina Faso, mechi yazua utata mkubwa.
Nyuma ya pazia juu ya ushindi wa Argentina dhidi ya Burkina Faso, mechi yazua utata mkubwa.
1d ago
READ MORE →