CAF yabadilisha mwamuzi wa mchezo wa Simba SC dhidi ya 15 de Agosto

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
1h ago
CAF yabadilisha mwamuzi wa mchezo wa Simba SC dhidi ya 15 de Agosto

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya 15 de Agosto na Simba SC.

Mwamuzi wa kati kutoka Misri, Amin Mohamed Omar, ameteuliwa kusimamia mchezo huo utakaochezwa Jumatano, baada ya mwamuzi wa Mauritius, Ahmad Imtehaz Heeralall, kushindwa kusafiri kwenda Dar es Salaam.

Taarifa zinaeleza kuwa Omar tayari ameondoka Cairo, Misri, na yuko safarini kuelekea Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya kusimamia mchezo huo.

Mabadiliko hayo yanakuja wakati Simba SC ikiendelea na maandalizi ya mchezo huo muhimu wa mashindano ya CAF, huku mashabiki wakisubiri kuona namna timu hiyo itakavyoanza safari yake katika hatua hiyo.

ADVERTISE HERE

More Stories

Kocha wa Wiliete SC alazwa hospitalini baada ya mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns
Kocha wa Wiliete SC alazwa hospitalini baada ya mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns
1h ago
READ MORE β†’
TFF kuja na zoezi la upimaji wa dawa zilizokatazwa kwa wachezaji
TFF kuja na zoezi la upimaji wa dawa zilizokatazwa kwa wachezaji
1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yawasha moto, yaanza maandalizi kuivunja ZED FC Chamazi
Azam FC yawasha moto, yaanza maandalizi kuivunja ZED FC Chamazi
1h ago
READ MORE β†’
Simba kuweka big screen Mwembe Yanga, mashabiki watakiwa kuvaa jezi mpya
Simba kuweka big screen Mwembe Yanga, mashabiki watakiwa kuvaa jezi mpya
2h ago
READ MORE β†’
Rangers yaelekea Caf kufuatia vurugu za mashabiki wa Mc Alger
Rangers yaelekea Caf kufuatia vurugu za mashabiki wa Mc Alger
4h ago
READ MORE β†’
Saido Berahino astaafu soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 33
Saido Berahino astaafu soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 33
5h ago
READ MORE β†’
kutoka bodaboda Iringa hadi kuwa nyota wa Yanga SC - Clement Mzize:
kutoka bodaboda Iringa hadi kuwa nyota wa Yanga SC - Clement Mzize:
5h ago
READ MORE β†’
Waziri Makonda afichua mpango wa kujenga Arena tatu za kisasa za michezo
Waziri Makonda afichua mpango wa kujenga Arena tatu za kisasa za michezo
9h ago
READ MORE β†’
Ndejembi atamani kuziona Simba na Yanga kwenye mpira wa kikapu
Ndejembi atamani kuziona Simba na Yanga kwenye mpira wa kikapu
9h ago
READ MORE β†’
Manchester United yagawana alama na Leeds baada ya kufungana 1-1
Manchester United yagawana alama na Leeds baada ya kufungana 1-1
20h ago
READ MORE β†’