CAF Champions League: Mamelodi yaaga, Wiliete ikifuzu kwa mara ya kwanza.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
2h ago
CAF Champions League: Mamelodi yaaga, Wiliete ikifuzu kwa mara ya kwanza.

Mamelodi Sundowns imeaga mashindano ya CAF Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Willette, matokeo yaliyofanya jumla ya mabao kuwa 1-1. Tashreeq Matthews aliifungia Sundowns dakika ya 11, kabla ya Mabululu kusawazisha dakika ya 49. Willette imefuzu hatua ya makundi kwa faida ya bao la ugenini, ikiwa timu ya pili baada ya Young Africans.

Matokeo mengine:

Orlando Pirates 4-0 African Stars (Jumla 5-0). Thapelo Mokobodi alifunga dakika ya 18, huku Evidence Makgopa akipachika mabao dakika ya 45 na 77. Mpho Padime aliongeza bao dakika ya 46.

Petro de Luanda 3-0 Scotland (Jumla 3-2). Ruben alifunga dakika ya 19, Jorge dakika ya 67 na Aparicio dakika ya 85, matokeo yaliyoiwezesha Petro kusonga mbele.

ADVERTISE HERE

More Stories

Vincent Kompany apelekwa hospitalini baada ya kuanguka
Vincent Kompany apelekwa hospitalini baada ya kuanguka
5h ago
READ MORE β†’
TP Mazembe yahamisha kambi Tunisia baada ya vurugu za mashabiki
TP Mazembe yahamisha kambi Tunisia baada ya vurugu za mashabiki
10h ago
READ MORE β†’
Barcelona ni bora zaidi ya Real madrid: Jurgen Klopp
Barcelona ni bora zaidi ya Real madrid: Jurgen Klopp
10h ago
READ MORE β†’
TRA United kesho tunaenda kushinda dhidi ya Yanga: Mwagala
TRA United kesho tunaenda kushinda dhidi ya Yanga: Mwagala
10h ago
READ MORE β†’
Yanga kila mchezo tunacheza kwa lengo la kushinda: Manqoba
Yanga kila mchezo tunacheza kwa lengo la kushinda: Manqoba
12h ago
READ MORE β†’
Manqoba aipa sifa TRA United, ni timu yenye mbinu na wachezaji hatari
Manqoba aipa sifa TRA United, ni timu yenye mbinu na wachezaji hatari
12h ago
READ MORE β†’
Simba SC yatandikwa faini ya Sh milioni 10 kwa makosa ya mashabiki
Simba SC yatandikwa faini ya Sh milioni 10 kwa makosa ya mashabiki
16h ago
READ MORE β†’
Lionel Messi awasili Hispania kupokea tuzo huku shabiki akidai kujijeruhi ili kumuona
Lionel Messi awasili Hispania kupokea tuzo huku shabiki akidai kujijeruhi ili kumuona
1d ago
READ MORE β†’
Diarra aadhibiwa Yanga baada ya kuchelewa kurejea kambini
Diarra aadhibiwa Yanga baada ya kuchelewa kurejea kambini
1d ago
READ MORE β†’
Lamine Yamal ajiandaa kwa hafla ya Ballon dOr 2026
Lamine Yamal ajiandaa kwa hafla ya Ballon dOr 2026
1d ago
READ MORE β†’