Mastaa wa soka na burudani wang’ara red carpet ya Ballon d’Or 2026

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
•
2d ago
Mastaa wa soka na burudani wang’ara red carpet ya Ballon d’Or 2026

Mastaa mbalimbali kutoka ulimwengu wa soka na burudani wamejitokeza kwa mwonekano wa kuvutia kwenye zulia jekundu (red carpet) la hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or 2026.

Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa The London Palladium, jijini London, Uingereza, ikiwakutanisha wadau mbalimbali wa soka na burudani kutoka sehemu tofauti duniani.

Miongoni mwa mastaa walioonekana ni Kylian Mbappé pamoja na Lamine Yamal, ambaye aliambatana na mwanadada katika hafla hiyo.

Hafla hiyo ni sehemu ya matukio yanayovuta hisia za mashabiki wa soka duniani, huku macho ya wengi yakielekezwa kwa mastaa, mitindo ya mavazi na tuzo zitakazotolewa kwa wachezaji waliofanya vizuri.

ADVERTISE HERE

More Stories

Simba yataja nafasi za kugombea uongozi uchaguzi mkuu Januari 2027
Simba yataja nafasi za kugombea uongozi uchaguzi mkuu Januari 2027
3h ago
READ MORE →
Mangungu awatupia lawama washauri wa Dewji kufuatia kukwama kwa uwekezaji Simba
Mangungu awatupia lawama washauri wa Dewji kufuatia kukwama kwa uwekezaji Simba
4h ago
READ MORE →
Jay-Z aingilia kati baada ya polisi kuitwa kwenye mechi ya mtoto!
Jay-Z aingilia kati baada ya polisi kuitwa kwenye mechi ya mtoto!
5h ago
READ MORE →
Oktoba 31 mwisho wa usajili wa wachezaji wa ziada Caf
Oktoba 31 mwisho wa usajili wa wachezaji wa ziada Caf
5h ago
READ MORE →
Simba sc kumtangaza CEO hivi karibuni Mangungu athibitisha
Simba sc kumtangaza CEO hivi karibuni Mangungu athibitisha
5h ago
READ MORE →
Mangungu: mchakato wa uchaguzi Simba ni batili na haramu
Mangungu: mchakato wa uchaguzi Simba ni batili na haramu
6h ago
READ MORE →
Liverpool kukutana na Bournemouth, Man City kuivaa Bradford robo fainali Carabao Cup
Liverpool kukutana na Bournemouth, Man City kuivaa Bradford robo fainali Carabao Cup
6h ago
READ MORE →
Yanga mbioni kumrejesha Sead Ramovic
Yanga mbioni kumrejesha Sead Ramovic
7h ago
READ MORE →
Ligi Kuu NBC, mechi nne kupigwa leo
Ligi Kuu NBC, mechi nne kupigwa leo
7h ago
READ MORE →
Azam Fc inagawa dozi tu Chamazi, yaichapa Mbeya City 4-0
Azam Fc inagawa dozi tu Chamazi, yaichapa Mbeya City 4-0
10h ago
READ MORE →