Michael Carrick aonekana Carrington huku Manchester United ikikabiliwa na presha

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
1d ago
Michael Carrick aonekana Carrington huku Manchester United ikikabiliwa na presha

Michael Carrick amewasili katika uwanja wa mazoezi wa Manchester United, Carrington, asubuhi ya leo saa 7:30 kwa saa za Uingereza akiwa amevalia mavazi ya mazoezi, huku mustakabali wa klabu hiyo ukiendelea kuwa gumzo.

Kuwasili kwake kunafuatia siku nzima ya mazungumzo ya dharura yaliyofanyika ndani ya klabu hiyo, lakini yakamalizika bila kufikiwa kwa uamuzi wowote.

Manchester United inaendelea kukabiliwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kupata ushindi katika michezo yake minane iliyopita, hali inayoongeza presha kwa timu hiyo kabla ya mchezo wake ujao dhidi ya Chelsea utakaopigwa katika Uwanja wa Stamford Bridge.

ADVERTISE HERE

More Stories

Azam Fc inagawa dozi tu Chamazi, yaichapa Mbeya City 4-0

1h ago
READ MORE →
Liverpool na Manchester City zapenya, Sunderland yaishangaza Brentford Carabao Cup

7h ago
READ MORE →
Kenya yatangaza uzinduzi wa uwanja wa Raila Odinga kwa mechi ya Bayern Munich na Ajax

12h ago
READ MORE →
Yanga yaangukia kundi B, Simba kundi C CAFCL

16h ago
READ MORE →
Singida Black stars yapangwa kundi C, kukutana na wapinzani wenye uzoefu Afrika

17h ago
READ MORE →
Azam kukutana na Mayele na Okello kundi B kombe la shirikisho

18h ago
READ MORE →
Manqoba kuvuna milioni 159 baada ya kuachwa na Yanga

Manqoba Mngqithi ahisi hujuma zilichangia kuondoka kwake Yanga SC

19h ago
READ MORE →
Droo ya CAF Champions League na Confederation cup 2026/27 kufanyika leo

20h ago
READ MORE →
Simba SC yatamani kukutana na RS Berkane au Espérance de Tunis CAF Champions League

23h ago
READ MORE →