Liverpool kukutana na Bournemouth, Man City kuivaa Bradford robo fainali Carabao Cup

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
1h ago
Liverpool kukutana na Bournemouth, Man City kuivaa Bradford robo fainali Carabao Cup

Droo ya robo fainali ya EFL Carabao Cup imepangwa, huku Liverpool ikikutana na Bournemouth na Manchester City ikiikabili Bradford City katika michezo itakayochezwa wiki inayoanza Desemba 14, 2026.

Katika michezo mingine, Crystal Palace itacheza dhidi ya Sunderland, wakati Fleetwood Town ikisubiri mshindi kati ya Everton na Newcastle United.

Bournemouth imefuzu robo fainali baada ya kuifunga Aston Villa mabao 3-0, huku Manchester City na Liverpool zikisonga mbele baada ya kushinda kwa mikwaju ya penalti katika hatua iliyopita.

Timu zitakazoshinda michezo hiyo zitafuzu hatua ya nusu fainali na kuendelea na harakati za kuwania taji la Carabao Cup.

ADVERTISE HERE

More Stories

Oktoba 31 mwisho wa usajili wa wachezaji wa ziada caf
Oktoba 31 mwisho wa usajili wa wachezaji wa ziada caf
1m ago
READ MORE β†’
Simba sc kumtangaza CEO hivi karibuni Mangungu athibitisha
Simba sc kumtangaza CEO hivi karibuni Mangungu athibitisha
28m ago
READ MORE β†’
Mangungu: mchakato wa uchaguzi Simba ni batili na haramu
Mangungu: mchakato wa uchaguzi Simba ni batili na haramu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga mbioni kumrejesha Sead Ramovic
Yanga mbioni kumrejesha Sead Ramovic
2h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu NBC, mechi nne kupigwa leo
Ligi Kuu NBC, mechi nne kupigwa leo
2h ago
READ MORE β†’
Azam Fc inagawa dozi tu Chamazi, yaichapa Mbeya City 4-0
Azam Fc inagawa dozi tu Chamazi, yaichapa Mbeya City 4-0
5h ago
READ MORE β†’
Mchakato wa uchaguzi Simba hadharani
Mchakato wa uchaguzi Simba hadharani
6h ago
READ MORE β†’
Liverpool na Manchester City zapenya, Sunderland yaishangaza Brentford Carabao Cup
Liverpool na Manchester City zapenya, Sunderland yaishangaza Brentford Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Kenya yatangaza uzinduzi wa uwanja wa Raila Odinga kwa mechi ya Bayern Munich na Ajax
Kenya yatangaza uzinduzi wa uwanja wa Raila Odinga kwa mechi ya Bayern Munich na Ajax
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yaangukia kundi B, Simba kundi C CAFCL
Yanga yaangukia kundi B, Simba kundi C CAFCL
21h ago
READ MORE β†’