Haina kupoa! UEFA Champions League kuendelea leo kwa michezo ya kibabe

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
1h ago
Haina kupoa! UEFA Champions League kuendelea leo kwa michezo ya kibabe

Michuano ya UEFA Champions League inaendelea tena leo kwa michezo tisa inayotarajiwa kuzikutanisha baadhi ya timu kubwa barani Ulaya. Macho ya mashabiki yataelekezwa zaidi kwenye mapambano ya Fenerbahce dhidi ya Liverpool, pamoja na AEK Athens itakayokuwa mwenyeji wa Real Madrid.

Michezo miwili itaanza saa 20:45 kwa saa za Afrika Mashariki. AEK Athens itakuwa na kibarua kizito dhidi ya Real Madrid, huku Liverpool ikisafiri kukutana na Fenerbahce katika mchezo mwingine unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Saa 23:00 usiku, Borussia Dortmund itakuwa mwenyeji wa Real Betis, wakati FC Porto itakabiliana na Napoli katika pambano linalozikutanisha timu zenye historia kubwa katika soka la Ulaya.

Michezo mingine ya saa hiyo ni Lens dhidi ya Como, PSV Eindhoven dhidi ya Club Brugge na RB Leipzig dhidi ya Manchester City. Arsenal nayo itakuwa ugenini kuvaana na Slavia Prague, huku Viking ikicheza dhidi ya Sabah.

Ratiba kamili ya leo

Saa 20:45

AEK Athens vs Real Madrid

Fenerbahce vs Liverpool

Saa 23:00

Borussia Dortmund vs Real Betis

FC Porto vs Napoli

Lens vs Como

PSV Eindhoven vs Club Brugge

RB Leipzig vs Manchester City

Slavia Prague vs Arsenal

Viking vs Sabah

ADVERTISE HERE

More Stories

Dosari za mabilioni zaibuka ukarabati wa viwanja vya Afcon 2027
Dosari za mabilioni zaibuka ukarabati wa viwanja vya Afcon 2027
2h ago
READ MORE →
Simba na Yanga Kutumia New Amaan Complex hatua ya makundi
Simba na Yanga Kutumia New Amaan Complex hatua ya makundi
4h ago
READ MORE →
Manchester United yafanya comeback ya kusisimua, PSG ikitoa mvua ya mabao ndani ya usiku wa UEFA
Manchester United yafanya comeback ya kusisimua, PSG ikitoa mvua ya mabao ndani ya usiku wa UEFA
14h ago
READ MORE →
Mbeya City yaichapa Singida BS, yaibuka na pointi tatu
Mbeya City yaichapa Singida BS, yaibuka na pointi tatu
21h ago
READ MORE →
Singida BS yavunja mkataba na Marcel Canadi
Singida BS yavunja mkataba na Marcel Canadi
1d ago
READ MORE →
West Ham yamfuta kazi Nuno Espírito Santo
West Ham yamfuta kazi Nuno Espírito Santo
1d ago
READ MORE →
Soka laomboleza kifo cha Jesús de Miguel wa CD Tenerife
Soka laomboleza kifo cha Jesús de Miguel wa CD Tenerife
1d ago
READ MORE →
NBC Premier League kuendelea leo kwa pambano la Mbeya City na Singida BS
NBC Premier League kuendelea leo kwa pambano la Mbeya City na Singida BS
1d ago
READ MORE →
Haina kupoa..! UEFA Champions League kupigika leo kwa mechi za kibabe
Haina kupoa..! UEFA Champions League kupigika leo kwa mechi za kibabe
1d ago
READ MORE →
Kapama: Doumbia ndiye aliyeibadilisha Simba jana
Kapama: Doumbia ndiye aliyeibadilisha Simba jana
1d ago
READ MORE →