Siku ya kuamua bingwa imewadia! Mabingwa wawili wa soka barani Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na USM Alger ya Algeria, wanatarajiwa kukutana katika mchezo wa fainali ya CAF Super Cup.
Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Loftus Versfeld jijini Pretoria, Afrika Kusini, saa 16:00.
Kombe moja, miamba wawili na bingwa mmoja atakayebeba heshima ya Afrika
ADVERTISE HERE