Uholanzi yaichakaza Ugiriki 7-0, Reijnders atengeneza hat-trick

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
14 Nov 2026
Uholanzi yaichakaza Ugiriki 7-0, Reijnders atengeneza hat-trick

Timu ya taifa ya Uholanzi imeonyesha kiwango cha juu baada ya kuichapa Ugiriki mabao 7-0 katika mchezo wa kimataifa, huku kikosi hicho kikionyesha soka la kuvutia chini ya kocha Xavi Hernandez.

Uholanzi ilianza kupata mabao kupitia Summerville dakika ya 6, kabla ya Tijjani Reijnders kufunga hat-trick ndani ya dakika 21, akitikisa nyavu dakika ya 12, 18 na 33. Jurrien Timber aliongeza bao la tano dakika ya 40, ambalo lilikuwa bao lake la kwanza katika timu ya taifa.

Timber aliendelea kungara kwa kufunga bao lake la pili dakika ya 59, kabla ya Donyell Malen kuhitimisha ushindi huo kwa bao la saba dakika ya 62. Uholanzi ilifikisha mabao saba kupitia wachezaji wanne tofauti.Kwa upande mwingine, Ujerumani nayo imeanza vizuri dhidi ya Serbia, ikipata mabao mawili ndani ya dakika 14 kupitia bao la kujifunga la Babic dakika ya 3 na Florian Wirtz dakika ya 14. Gruda aliongeza bao la tatu dakika ya 50, kabla ya Babic kuifungia Serbia dakika ya 56 na kufanya matokeo kuwa 3-1.Mchezo unaofuata unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Ujerumani na Uholanzi, utakaochezwa Jumatatu Novemba 16. Ujerumani inahitaji ushindi muhimu dhidi ya kikosi cha Xavi ambacho kimeonyesha makali makubwa katika mchezo wake dhidi ya Ugiriki.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
5h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
11h ago
READ MORE β†’
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
11h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
14h ago
READ MORE β†’
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
15h ago
READ MORE β†’
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
16h ago
READ MORE β†’
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
17h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
19h ago
READ MORE β†’