Simba yakerwa na kauli za Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
5d ago
Simba yakerwa na kauli za Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imesema imesikitishwa na kauli za Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF kuhusu mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo.

Kupitia taarifa yake, Simba imeeleza kuwa iliandikia TFF barua rasmi Novemba 13, 2026, ikiwasilisha maoni na mapendekezo kuhusu uchaguzi pamoja na kuomba majibu kwa maandishi. Hata hivyo, klabu imepinga kujibiwa kupitia vyombo vya habari badala ya kupatiwa majibu rasmi.

Simba pia imepinga kauli zinazoashiria kuwepo kwa pande mbili ndani ya klabu, ikisisitiza kuwa Simba ni moja na inaongozwa na katiba moja iliyofanyiwa marekebisho Novemba 30, 2025 na kusajiliwa Februari 18, 2026.

Aidha, klabu imesisitiza dhamira yake ya kuwa na uchaguzi huru, wa haki na uwazi. Imeongeza kuwa jopo lake la wanasheria linatathmini hatua zaidi za kisheria dhidi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, huku ikiomba wanachama na mashabiki kudumisha utulivu na umoja.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
5h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
11h ago
READ MORE β†’
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
11h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
14h ago
READ MORE β†’
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
15h ago
READ MORE β†’
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
16h ago
READ MORE β†’
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
17h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
19h ago
READ MORE β†’