NBC Premier League: Mnyama kurejea dimbani leo, akizichapa na maafande

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
49m ago
NBC Premier League: Mnyama kurejea dimbani leo, akizichapa na maafande

Simba SC leo inarejea dimbani kuwakabili maafande wa JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, huku ikisaka pointi muhimu za kujiimarisha kileleni mwa msimamo na kuendelea kuwa mbele ya mtani wake wa jadi.

Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuanzia saa 12:30 jioni, huku Wekundu wa Msimbazi wakihitaji ushindi ili kuendeleza kasi yao kwenye mbio za ubingwa.

Je, Mnyama ataondoka na pointi tatu dhidi ya maafande?

More Stories

Super Weekend: Mechi kali za kibabe kurejea leo barani Ulaya

1h ago
READ MORE β†’
Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili

14h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 2-4 Singida BS, Ligi Kuu

15h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi

19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu

Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League

20h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
23h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania

Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid

Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.

1d ago
READ MORE β†’