Waziri wa Michezo, Paul Makonda, leo ametembelea kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, nchini Qatar na kukutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi.
Serengeti Boys inatarajiwa kushuka dimbani leo, Novemba 27, 2026, saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, kucheza mchezo wake wa mwisho wa Kundi I dhidi ya Ireland.