Yanga B ilivyoiduwaza Tusker SportPesa

Admin By Admin
β€’
6 Jun 2017
Yanga B ilivyoiduwaza Tusker SportPesa
Jana Jumatatu Yanga ilifanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa kwa kuiondosha Tusker kwa mikwaju ya penati 4-2.

Kabla ya mchezo huo wengi walikuwa wakidhani Yanga ingeweza kutolewa kutokana na uhaba wa wachezaji baada ya karibu wachezaji nane wa kikosi cha kwanza kuitwa kuzitumikia timu zao za Taifa.

Yanga ikitumia wakongwe waliopo na kikosi cha vijana maarufu kama Yanga B iliweza kuwaduwaza wale wasioitakia mema timu yetu.



Yanga ilistahili ushindi katika mchezo huo, hilo halina shaka.

Ukiangalia nafasi tulizotengeneza zilikuwa nyingi yani Tusker wana bahati tuliwakosa katika muda wa kawaida.

Hongera vijana wa Yanga na hakika vijana wale waliocheza jana wanastahili kupandishwa kwenye kikosi cha kwanza.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’