Juma Abdul awashushua wanaomzushia

Admin By Admin
β€’
14 Jun 2017
Juma Abdul awashushua wanaomzushia
Usajili wa mwaka huu ni kama kuna baadhi ya vyombo vya habari vinatumika kuonyesha kuwa ndani ya klabu ya Yanga mambo sio shwari na wachezaji wengi huenda wakaondoka.

Mlinzi wa pembeni Juma Abdul ni miongoni wa wachezaji walizushiwa kuwa wanaondoka ndani ya klabu ya Yanga.

Kwa kauli yeke mwenyewe, Juma Abdul amesema;

"Mimi ni mchezaji wa Yanga na nina mkataba bado wakuitumikia klabu yangu nashangaa wanaosema nina hama muache tabia yakuzishia watu mimi bado ni mchezaji halali wa Yanga SC kuandika deal done tayari watu wametafsri tofauti katika maisha watu tuna mipango mingi na sio soka tu"

Kitendo cha Yanga kuendesha zoezi la usajili kimya kimya kimechukuliwa kama timu hiyo haina fedha za kusajili na pengine hata kuwabakisha wachezaji wake muhimu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’