Carkinhos amebakisha mechi moja tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2021
Carkinhos amebakisha mechi moja tu

Kiungo mshambuliaji Carlos Carlinhos anatarajiwa kurejea katika kikosi cha Yanga baada ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa April 03 kule Rukwa

Baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Ken Gold, Carlinhos tayari amekosa michezo miwili dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania

Nyota huyo raia wa Angola anaweza kuonekana tena kikosini kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa April 07 Yanga jijini Dar es salaam

Carlinhos aliomba radhi tukio la kuonyeshwa kadi nyekundu akieleza kupata somo kutokana na tukio hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’