Kiungo mkongwe Haruna Niyonzima 'Fabregas' yuko nchini Rwanda na kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda kinachojiandaa na mechi za kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2021 zitakazopigwa mwishoni mwa mwezi huu
Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji watatu wa kigeni walioitwa kujiunga na timu za Taifa
Wengine ni Saido Ntibazonkiza (Burundi) na Mukoko Tomombe (DRC)



Aidha wachezaji Metacha Mnata, Yassin Mustafa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum, Deus Kaseke, Farid Mussa na Ditram Nchimbi wameitwa timu ya Taifa ya Tanzania
ADVERTISE HERE