Klabu ya Yanga imetuma salamu za pole kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha Rais wa Tanzania Dk John Magufuli kilichotokea jana jioni Hospitali ya Mzena jijini Dar Salaam kutokana na matatizo ya moyo

ADVERTISE HERE