TFF yasimamisha mechi za ndani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2021
TFF yasimamisha mechi za ndani

Kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kusimamisha mechi zote za ndani kwa muda wa wiki mbili

Katika hatua nyingine, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefuta mechi ya kirafiki kati ya Kenya (Harambee Stars) na Tanzania (Taifa Stars) iliyokuwa ichezwe leo jijini Nairobi.

Mechi hiyo imefutwa kutokana na msiba wa kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk John Pombe Magufuli.

Hivyo Taifa Stars itaendelea kuweka jijini Nairobi kujiandaa kwa mechi ya Equatorial Guinea.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’